Event Information

 

Ubalozi unapenda kuwajulisha Wanadiaspora wote kwamba tarehe 11 Aprili 2025 kuanzia saa 8 Mchana kwa saa za Uingereza kutakuwa na tukio maalum la Benki ya Absa Bank Tanzania linalohusu uzinduzi wa "product" mahususi kwa wanadiaspora. 

 

Wanadiaspora wanaweza kufuatilia tukio hilo kwa njia ya mtandao wa Youtube link: https://lnkd.in/eTtzRPxk

Need more information?
Get regular updates